1 Kings 22:48

48 aWakati huu Yehoshafati akaunda merikebu nyingi za biashara
Au: za Tarshishi (ona pia 1Fal 10:22; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 2:16; 60:9 ).
ili kwenda Ofiri kuchukua dhahabu, lakini kamwe hazikusafiri, kwa maana zilivunjika huko Esion-Geberi.
Copyright information for SwhKC